Waziri wa mambo ya nchi za nje wa Marekani Marco Rubio amesema hii leo kwamba nchi yake itaendelea kushinikiza upatikanani wa makubaliano ya amani ya Ukraine.
Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani Johann Wadephul amesema Mkutano wa Usalama wa Munich -MSC- ambao unafunguliwa rasmi hii leo, unamaanisha fursa ya kuangazia upya ushirikiano miongoni mwa washirika ...
Waziri wa mambo ya nje wa Iran Abbas Araghchi ameelekea Saudi Arabia Jumatano, Oktoba 9, kama kituo cha kwanza katika ziara ya Ghuba ambayo pia inajumuisha Qatar. Kwa mujibu wa wizara ya mambo ya nje ...
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi, amesema mazungumzo kati ya Iran na Marekani yamepangwa kufanyika Oman ...
Mkutano wa mawaziri kuhusu madini muhimu na ardhi adimu ulifanyika Washington Jumatano, Februari 4. Lengo la Trump ...
Iran na Marekani zimekubaliana "kuendelea na mazungumzo yao," Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Abbas Araghchi ametangaza siku ya Ijumaa baada ya duru ya kwanza ya mazungumzo yaliyofanyika Oman, ...
Rais wa Iran Masoud Pezeshkian anasema amemwagiza Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi hiyo kuendelea na mazungumzo na Marekani.
Katika miaka kumi iliyopita, dunia imebadilika hasa katika nyanja ya teknolojia, maendeleo hayo yamewafanya watu wengi duniani kuwa na simu za kisasa zinazoweza kupata intaneti. Katika ulimwengu wa ...
MAKAMU wa Rais, Dk Emmanuel Nchimbi ameagiza mambo matatu ili kuhakikisha mpango wa ushirikiano kati ya vyuo na viwanda ...
WATAALAMU wa uchumi wameshauri mambo matano yazingatiwe ili kuongeza ufanisi wa mikopo ya asilimia 10 inayotengwa na halmashauri. Serikali inatoa mikopo ya asilimia 10 kupitia mgawanyo wa asilimia nne ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results